Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Mkuu mbona kama unaumia sana eee kwani wew huchepuki au
Nachepuka kwa akili zangu lakini si kwa kuambiwa ushauri na mtu. Kuchrpuka haimaanishi nishauri nae achepuke. Mwacheni achepuke kwa mawazo yake mwenyewe...
 
Sijawahi, naogopaa...ila nafsi haielewi.
Hakika nakwambia utakamatwa,mwanamke akishapata mtu nje hubadilika haraka sana hivyo mumeo alishakujua kuwa saizi unadalili ya kuchepuka au unachepuka hivyo anakucheki tu na kukuwinda,kariri maneno yangu haya utakuja kuniambia!
 
Una akili sana we mwanamke!! Nakupongeza sana aisee!!
 
Ama kweli wanawake wavumilivu kama mama zetu hapo early wako wapi aisee?.
Watoto kusikia mama anato..mbwa hovyo hovyo mtaan basi wanalazimika kuita baba hata huyo mchepuko wa mama.
Lakin ndio uhalisia wa wanawake wa siku hizi.
Pambana ku solve matatizo yako ndani au la chukua talaka ukawe huru nje kuliko kugawa nyapu ya mumeo kwa wanaume wengine
 
Nachepuka kwa akili zangu lakini si kwa kuambiwa ushauri na mtu. Kuchrpuka haimaanishi nishauri nae achepuke. Mwacheni achepuke kwa mawazo yake mwenyewe...
Sasa unadhani huyu ameomba ushauri kwamba ukimwambia asichepuke hatochepuka ni kwamba moyo wake na roho viko radhii
 
Yaan acha kabisa sista, ilibidi nihame uzi kwa muda, wee ndo umenirudisha.

Ila bottom line ni kwamba acha tu vifungu na mahubiri vitamalaki coz majority tunamuonea huruma kitakachompa huyo mwanamke mwisho wa siku. Mwenyewe unaonaga humu comments za wanadau humu ke akichepuka, utasikia piga chini huyo. Subiri sasa mdada alalamike me wake anachepuka, utasikia vumilia tu, wanaume wote ndo walivyo, hahaaa kazi mnayo, teh!!
 
Hata huyo jamaa anaku care sababu bado hajakulamba akishakufanya utaona tu mwenyewe,kitu kingine huenda baada ya kuolewa na mumeo ulianza kuishi kwa mazoea wewe hufanyi nafasi yako ila unaamua kumlaumu mumeo bila kujua huenda wewe ndo chanzo

Wanawake wengi mna hili tatizo hili la kuridhika......fanya kile moyo wako unaona ni sawa
 
Haha utatusikia "wanaume wote wapo hivyo hivyo", mweeh tunataabika duniani bado na mbinguni sasa

My kaka wanaume wengi mnachapiwa tu, na mnasamehe (or mnapretend kusamehe) na maisha yanaendelea kiunafiki vizuri tu. Kuachana sio kitu rahisi sana kama tunavyoongea hapa, wewe ukimdaka wifi utamuacha? Kama hujaanza kuwaza future ya wanao ukaamua tu kumdunda yakaisha teh. Mkiwa humu mnavimbaaaaaaaa
 
Wanaume mnaochangia huu uzi mmesoma vizuri kichwa cha uzi kweli.

Mtajikuta mnaolewa kizembe sana😜😁😨😨
 
No asipooa si wapo hawa wachepukaji atawatumia mkuu.mwisho wa siku kwa tabia hizi za wanawake ule usemi kuwa haw ni vyombo vya starehe unakamilika kamili.meant to be used na kila mtu so ukijimilikisha matokeo yake ndio kama haya ya akina mama k
 
Hapo ulipofikia hakuna cha kukuzuia kuchepuka hakuna!!!!!kafanywe tu ila heshima ibaki pale pale
Umeona eeeh? Mpaka hapo alishaamua kuchepuka ila usidhani kwamba ndani patakuwa kawaida lazima huyu ataanza dharau kwa mumewe hapo ndipo tifu litakapoanzian,mwanamke kujizuia akichepuka ni ngumu mno
 
Nimecheka kwa sauti kwa haya mawili
1. Wasafi Classic
2. ukishapata hamu ya hivo ni haitulii hadi ufanye...

Duh,,
hiyo hali ukishamuelewa mwanaume magoti yakalegea chp ikaloa yani kuliwa hakukwepeki hata iweje, labda tu mtmbj
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume n mtawala wa familia.so ni rahisi mwanaume kwenda nje kutafuta empire na ku conquer ila ni kitu kingine kabisa empire ya mwanaume kuwa conquered na mtu mwingine.it means umepoteza power.Solution ni ku kill tu the whole empire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…