Ndugu wana jamii ninahitaji kuchimba kisima cha maji safi,ila sina uelewa wa makampuni yanayohusika kuchimba visima,ninaomba yeyote anayefahamu company yoyote inayochimba visima kwa bei nafuu