Nataka kuchukua mazda cx 5 2015

Nataka kuchukua mazda cx 5 2015

Joined
Jul 9, 2017
Posts
56
Reaction score
70
Wakuu habari ya jumapili,nataka kuchukua hiyo chuma kutokana na muonekano wake comfortability, pia fuel consumption ipo vzuri.
Ushauri: nmekuta malalamiko sehemu baadhi ya hzo gari mara dpf, pipe but wanadai 2015,2016 haina hzo shida
Wajuzi wa mambo msaada wenu je ni kweli hzi sio sumbufu kama zile za 2012,13,14????
 
Mimi niltaka ichukua hiyo. Napenda muundo wake sana. Fundi wangu akanikatalia, alisema zina shida ya gear box kama sijasahau. Mwenye kuzijua atanisahihisha, maana nahisi nimesahau sababu aliyonipa. But ni nzuri, jilipue tu Mkuu...
Ingekuwa ni nissan yenye gearbox ya cvt ningekubaliana naye. Ila hiyo gari safi hata mimi Mungu akinibless by january ntaichukua
 
Mimi niltaka ichukua hiyo. Napenda muundo wake sana. Fundi wangu akanikatalia, alisema zina shida ya gear box kama sijasahau. Mwenye kuzijua atanisahihisha, maana nahisi nimesahau sababu aliyonipa. But ni nzuri, jilipue tu Mkuu...
Angalau kwa kusikia na kusoma, sijawahi kusikia kama zina shida za gearbox. Ila ni kweli nimesikia ina shida mfumo wa upoozaji na DPF inaweza kuzingua hadi turbo na cylinder head kama ikianza kuziba kama haikufanyiwa DPF regeneration kwa wakati.
Kama utaogopa sana engine ya fiesel ambayo ndo inatajwa zaidi kuwa na shida, chukua ya petrol. Ofcoz utapoteza perfomance kidogo (uwiano mzuri wa power na fuel comsumption)
 
Kama umeipenda na unaweza angalau kuendesha long trip (2 hours) at least mara moja kwa week 2 chukua. Hivyo vingine wanakutisha tu mafundi uchwara.
So cx 5 inataka kila baada ya wiki 2 uipige km za kutosha ndio inakua aileti rabsha?
 
tusiokuwa na uzoefu tunapigwa sana, unavuta chuma inakutesa, unaanza kutamani kuiuza unakosa mteja,, unaona bora uuze bei ya kutupa ili upoze machungu.
Kuna gari namiliki niliiweka sokoni kuna fala aliitaka kwa mln 2,bado kidogo tu nimtie ngumi basi nilizuia hasira,gari iuzwe sawa na boda boda used kweli!
 
So cx 5 inataka kila baada ya wiki 2 uipige km za kutosha ndio inakua aileti rabsha?
Uko sahihi, tatizo na DPF kwako litakua historia.

Mfano mimi inataka regen kila baada ya kilometa 150.

IMG_0073.jpeg

Mfano hapo kwenye results inaonesha 27% ya PM zinekua generated inamaana ikifika 50-60% itaanza request regen.
 
Uko sahihi, tatizo na DPF kwako litakua historia.

Mfano mimi inataka regen kila baada ya kilometa 150.

View attachment 3112110

Mfano hapo kwenye results inaonesha 27% ya PM zinekua generated inamaana ikifika 50-60% itaanza request regen.
Gari ina masharti kama ya mganga wa kienyeji!
 
Back
Top Bottom