bending moment
Member
- Jul 9, 2017
- 56
- 70
Kama umeipenda na unaweza angalau kuendesha long trip (2 hours) at least mara moja kwa week 2 chukua. Hivyo vingine wanakutisha tu mafundi uchwara.
oya hujawai mkatisha mtu tamaaKama umeipenda na unaweza angalau kuendesha long trip (2 hours) at least mara moja kwa week 2 chukua. Hivyo vingine wanakutisha tu mafundi uchwara.
Kwa issue aliyoiongelea happ ya DPF (Diesel Particulate Filter) iweze kuzichoma au kuziondoa izo carbon unahitaji iyo condition angalau mara 2 kwa mwezi, kama wewe ni muendeshaji sana wa mjini uende long trip.Kwanini long trip?
😃😃😃tusiokuwa na uzoefu tunapigwa sana, unavuta chuma inakutesa, unaanza kutamani kuiuza unakosa mteja,, unaona bora uuze bei ya kutupa ili upoze machungu.
Kwahiyo ukinunua Mazda itakutesa kwenye kipi? Wabongo Kwa kutishana kwenye maisha tuko vizuri sanaatusiokuwa na uzoefu tunapigwa sana, unavuta chuma inakutesa, unaanza kutamani kuiuza unakosa mteja,, unaona bora uuze bei ya kutupa ili upoze machungu.
Ingekuwa ni nissan yenye gearbox ya cvt ningekubaliana naye. Ila hiyo gari safi hata mimi Mungu akinibless by january ntaichukuaMimi niltaka ichukua hiyo. Napenda muundo wake sana. Fundi wangu akanikatalia, alisema zina shida ya gear box kama sijasahau. Mwenye kuzijua atanisahihisha, maana nahisi nimesahau sababu aliyonipa. But ni nzuri, jilipue tu Mkuu...
Angalau kwa kusikia na kusoma, sijawahi kusikia kama zina shida za gearbox. Ila ni kweli nimesikia ina shida mfumo wa upoozaji na DPF inaweza kuzingua hadi turbo na cylinder head kama ikianza kuziba kama haikufanyiwa DPF regeneration kwa wakati.Mimi niltaka ichukua hiyo. Napenda muundo wake sana. Fundi wangu akanikatalia, alisema zina shida ya gear box kama sijasahau. Mwenye kuzijua atanisahihisha, maana nahisi nimesahau sababu aliyonipa. But ni nzuri, jilipue tu Mkuu...
So cx 5 inataka kila baada ya wiki 2 uipige km za kutosha ndio inakua aileti rabsha?Kama umeipenda na unaweza angalau kuendesha long trip (2 hours) at least mara moja kwa week 2 chukua. Hivyo vingine wanakutisha tu mafundi uchwara.
Kuna gari namiliki niliiweka sokoni kuna fala aliitaka kwa mln 2,bado kidogo tu nimtie ngumi basi nilizuia hasira,gari iuzwe sawa na boda boda used kweli!tusiokuwa na uzoefu tunapigwa sana, unavuta chuma inakutesa, unaanza kutamani kuiuza unakosa mteja,, unaona bora uuze bei ya kutupa ili upoze machungu.
Uko sahihi, tatizo na DPF kwako litakua historia.So cx 5 inataka kila baada ya wiki 2 uipige km za kutosha ndio inakua aileti rabsha?
Hii programme unaipataje ???Uko sahihi, tatizo na DPF kwako litakua historia.
Mfano mimi inataka regen kila baada ya kilometa 150.
View attachment 3112110
Mfano hapo kwenye results inaonesha 27% ya PM zinekua generated inamaana ikifika 50-60% itaanza request regen.
Kuna option mbili kama una App ya MyMazda inakua rahisi unaunganisha na gari kwa Bluetooth au unaweza kuforce kwa OBDII.Hii programme unaipataje ???
Gari ina masharti kama ya mganga wa kienyeji!Uko sahihi, tatizo na DPF kwako litakua historia.
Mfano mimi inataka regen kila baada ya kilometa 150.
View attachment 3112110
Mfano hapo kwenye results inaonesha 27% ya PM zinekua generated inamaana ikifika 50-60% itaanza request regen.
Diesels are not for shot trips. Drive like you stole it.Gari ina masharti kama ya mganga wa kienyeji!