A anaplasmosis Member Joined Jan 25, 2013 Posts 58 Reaction score 6 Jan 28, 2013 #1 nataka kuchukua mkopo waungwana kwa ajili ya biashara. je ni bank gan yenye makato na masharti nafuu.?msaada plz
nataka kuchukua mkopo waungwana kwa ajili ya biashara. je ni bank gan yenye makato na masharti nafuu.?msaada plz
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 Jan 28, 2013 #2 Toa maelezo sahihi, je wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara,?