Nataka kuelimishwa vyote kuhusu karasha mgodini na jinsi ya kuingiza pesa kwa wingi

Joined
Jan 26, 2019
Posts
87
Reaction score
113
Habari wanajukwaa,

Dhumuni langu kubwa la kuporomosha uzi huu ni kuomba au kuwataka wale magwiji au wazoefu wa mambo ya migodini (kununua na kuuza pia na kusimamia karasha ili kuzalisha pesa kwa wingi).

Jamani mimi nimepelekwa mgodini na mzee wangu kusimamia karasha la kusagia mawe ya dhahabu na hapa sina uzoefu wa ujuzi maana yake sijui chochote kabisa.

Kwahiyo nawaombeni wale wazoefu waje wanipatie mwongozo mzima jinsi gani naweza kuendesha huu mradi wa baba ili ni lete heshima na kuipigania kuingiza pesa ya kutosha.

Nimefika leo 20/09/2023 Buzwagi ndogo. Igunga
 
Mkuu, huko karasha wanasaga kwa cash au unakuza rundo tuu.. mm nina uzoefu wakutosha kweny uzalishaji mali kwenye karasha. Na nina miliki karasha langu
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…