Mkuu kuna shauri lolote uliloisha fungua katika, baraza la kata/baraza la ardhi la wilaya?kulingana na thamani ya mali hiyo?na hukumu ikatolewa kuwa umeshinda?tuanzie hapo kwanza.
Bila kuwa shauri lililoisha amliwa mahakamani ni ngumu!!haiwezekani kamwe, huwezi ukaenda tu eti mtu amevamia kiwanja changu, nendeni mkamtoe, bila case kusikilizwa na kuonekana nani ni mmiliki halali wa kiwanja hicho!!ajipange tu kuendesha kesi kwanza