nataka kufahamu kuhust IT

nataka kufahamu kuhust IT

mpembasafi

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
6
Reaction score
0
eti wajameni information technology ngazi za cheti hua wanataka uwe na credit ngp za form 4
 
Kwa University Computing Center kama una credit zako 3 za Olevel unapata admission but sijui vyuo vingine sasa.
 
Kwa Certificate sidhani kama huwa wanaangalia sana Credits wanaangalia uwezo wako tu, ila kwa Diploma (NTA 6) ni lazima......
 
Back
Top Bottom