Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar, naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi?

Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar, naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi?

DolphinT

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
2,014
Reaction score
2,979
Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar es Salaam kupitia mpaka wa Tarakea! Biashara Ni ya Nguo!

Naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi.

Kibiashara na personal
 
Uzi mzuri kama huu utashangaa kukosa wachangiaji.....Anyway kila la heri mpambanaji
Yeah tutafanyaje maana jamii yetu ndio hiyo masaa 24 wanawaza mambo ya pombe na makalio tu.
Huko ndio kuna wachangiaji wengi ila ukileta jambo jipya la kimaendeleo unapingwa na kushambuliwa kwa lugha za kejeli
 
Vyote ninavyo

Hivi ndo vya muhimu, mengine utayajua ukishaanza biashara. Maana hata aina ya biashara ujasema.

mfano: inawezekana unataka kufanya biashara ya mirungi, Mambo ya muhimu yatatofautiana na kama unataka kufanya ya Mahindi.

Mfanya biashara serious hufanya utafiti kwa kwenda eneo husika kuangalia bidhaa, bei, ushindani etc, sio Jamii Forums
 
Copy
 
Back
Top Bottom