Nataka kufanya biashara ya bajaji

Gthedon

Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
22
Reaction score
4
Nataka kufanya biashara ya bajaji,naombeni mrejesho kwa siku shingapi? Aina gani ni nzuri. Mawazo yenu muhimu wadau
 
Kwa Tvs King, mpya 20k kwa sk, used ni 15k na iliyochoka hadi 10k kwa sk, yote hayo inategemea na eneo inayo park.
Kuna bima ya km 120k na sumatra ya km 90k, na ya chama km 15k.
Bado service kila baada ya wiki 2 ambayo ni km 35k hivi.
 
Na pia usitoe day waka umkabidhi kijana akuletee hesabu peke yake vilevile usikubali Bajaj ipoge mtungo mchana na usiku,,utaiua mara moja!
 
Ok nilisikia 30K kwa siku kwa mpaya maeneo ya tegeta
 
Sina uhakika na hilo, ila km ni 30k kwa siku basi ujue itafanya kazi usk na mchn na pia kwenye barabara mbovu kwa hy haito dumu, utakufa mapema tu.
 
Ok asante ngoja nijipange mwisho wa mwezi niwe nayo. Hivi huo mrejesho hauna sikukuu ukaongezeka
 
Mkuu! bora ufany ya suzuki zile ndogo za mizigo kido marejesho yake ni mazuri kuanzia kilo na kuendelea kwa wiki! na inadumu sana kuiliko bajaji!
 
Mkuu! bora ufany ya suzuki zile ndogo za mizigo kido marejesho yake ni mazuri kuanzia kilo na kuendelea kwa wiki! na inadumu sana kuiliko bajaji!
ni sehemu gani hiyo zinaingiza laki?
 
Mkuu! bora ufany ya suzuki zile ndogo za mizigo kido marejesho yake ni mazuri kuanzia kilo na kuendelea kwa wiki! na inadumu sana kuiliko bajaji!

Una uhakika mkuu BIR.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…