Ngozi zinapatikana kwenye machinjio mkuu, tatizo wengi wa wachinjajitayari wana wateja wao itabidi uangalia mbinu ya kuingia itayowavutia wateja kuja kwako. Fanya reseach machinjio yanayochinja sana na sehemu zenye wanunuzi wachache wa ngozi. Utahitaji kuwa na godown la kutrit na kuhifadhi (siku hizi ngozi kavu hazina soko, wanaexport ngozi mbichi). sualala export na taratibu zake watakuja wadau.