joss1973
JF-Expert Member
- Mar 18, 2010
- 405
- 102
Wakuu nataka kufanya biashara ya kuuza ngozi ya ng'ombe nchi China .naomba mnifahamisha njinsi ya kupata ngozi na njinsi ya kuichangua ngozi iliyo high qualinty .wapi kwa kuinunua ngozi ?bei zake?Na taratibu za kisheria zinafanya je??njinsi za ku-export ??gharama zake ??naomba anayefaham andokezee tafadhari wakuu .ili niweze kujiajiri na kutengeza ajira.tunaweza kuwacliana kwa whatsapp 0713 95 92 90