genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 249
wakuu nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kuSupply mchele mashuleni na kwenye cafeteria za chuo.
ni utaratibu gani hutumika kupata tenda kwenye maeneo hayo? mfano hizi shule za boarding na pia vyuoni?
Naomba mawazo yenu kuhusu hili suala
Sent using Jamii Forums mobile app
ni utaratibu gani hutumika kupata tenda kwenye maeneo hayo? mfano hizi shule za boarding na pia vyuoni?
Naomba mawazo yenu kuhusu hili suala
Sent using Jamii Forums mobile app