genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 249
vipi kwa upande wa shule binafsi? bila shaka wao hawachelewi kulipa helaMkuu Lazima Uwe Na Mtaji Mkubwa Sana
Serikali Huchelewa Sana Kulipa Wazabuni
Sasa Unaweza Kufanya Supply January
Ukalipwa January Nyingine
Kwasasa Nadhani Tender Ndiyo Inaamua
Enzi Za Nyuma Ungekwenda Chuo/Shule Yoyote
Binafsi Huko Hakuna Shida Sanavipi kwa upande wa shule binafsi? bila shaka wao hawachelewi kulipa hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa
Kumbe Dada yupo amejaa tele humu jukwaani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe Dada yupo amejaa tele humu jukwaani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu hajaniambia jamani, kidogo nifungue uzi wa kumtafuta
Sawa
barikiwa kwa kumjenga mdogo wetu.Hii biashara ni nzuri na inalipa vizuri sana. Ila kupata hizi tender sio kitu rahisi, lazima ujidhatiti haswa, ikiwezekana hata ukubali kula na wenye mamlaka....maana
wengi wao huwa na tamaa tamaa nyingi, kukupa tender anaona kama utapata sana.
Kwa kuanza nakushauri, anza kwa kutembelea private schools. Maana ndio soko bora lililobakia kwa biashara hiyo, kwa sababu sio wacheleweshaji wa malipo kabisa. Wapo wanaolipa kwa trip, week na kwa mwezi.....ni maelewano yenu tu.
Angalizo.
1: Hakikisha una mtaji wa kutosha.
2: Uwe na store.
3: Huo mchele ni vema ukachukua kwa wingi kutoka kwa wakulima na wala sio kwa walanguzi masokoni.(kuna maana kubwa kwenye hili).
4: Pia uwe na usafiri like kirukuu, pikipiki au bajaji utakayoitumia kufanya supply yako.
5: Mwisho, make sure unakuwa na vitabu vizuri vya deliver notes na invoice, kwa ajili ya uendeshaji wa biashara yako.
I wish you all the best ndugu.
Welcome.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna shangazi yangu alaikuwa anapeleka matunda shule fulani hapa Arusha amebidi aache........kikubwa kuwa na mtaji mrefu alafu iyo ela usiitegemee ukishapeleka maana sio ya kuipigia mahesabu kabla ujaishika mkononiwakuu nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kuSupply mchele mashuleni na kwenye cafeteria za chuo.
ni utaratibu gani hutumika kupata tenda kwenye maeneo hayo? mfano hizi shule za boarding na pia vyuoni?
Naomba mawazo yenu kuhusu hili suala
Sent using Jamii Forums mobile app