MKUU SAMAHANI KAMA NITAKUDH,
-Mkuu ni vizuri tukawa seriasi, haingii akilini kwamba una aidea halafu hujui uanzie wapi, ni kama uje na wazo la kuvumbua gari la kutumia jua halafu uje kuwauliza watu hivi ni nitafanyaje kutengeneza gari la kutumia jua?
- Ni bora tukawa siriasi kwa sababu nchi zingine ushauri kama huu unalipiwa pesa nyingi sana mkuu, mimi siwezi kuja hapa na wazo la kuyanzisha mgahawa halafu nianze kuuliza maswali haya.
1. Je mgahawa unalipa?
2. Je naanza na nini?
Wakuu mimi naamini kwa mjasiriamli yoyote yule Duniani mpaka aje na wazo lake la biashara ameisha fanya uchunguzi wa kutosha, sasa huku kwetu ni kinyume kabisa, tunakuja na mawazo halafu hatujui hata hilo wazo linamaanisha nini.
- Mfano mimi nina wazo la kufuga kuku wa halafu sijui hata hao kuku wanafananaje. wana rangi gani je wanataga au wanazaa, hayo yote sijui ila nina wazo la kufuga kuku, sasa hilo wazo nitakuwa nimelitoa wapi?
- Hivi unaenda kwenye mashindano ya kupresent wazo la biashara inafika zamu yako wanakuuliza hilo wazo lako linalipa, wewe unasema sijui kabisa, je utaanza anza vipi kutekereza wazo lako? wewe unajibu sijui