Habari zenu,wakuu.
Ninampango wa kufanya biashara ya kutengeneza matangazo ya biashara,ya picha na sauti...ninaipenda sana hii biashara.
Ninaomba mawazo yenu,....nianzie wapi.naitaji nianze na nini haswa,inalipa kiasi gani,na wateja wakubwa ni nani?
MKUU SAMAHANI KAMA NITAKUDH,
-Mkuu ni vizuri tukawa seriasi, haingii akilini kwamba una aidea halafu hujui uanzie wapi, ni kama uje na wazo la kuvumbua gari la kutumia jua halafu uje kuwauliza watu hivi ni nitafanyaje kutengeneza gari la kutumia jua?
- Ni bora tukawa siriasi kwa sababu nchi zingine ushauri kama huu unalipiwa pesa nyingi sana mkuu, mimi siwezi kuja hapa na wazo la kuyanzisha mgahawa halafu nianze kuuliza maswali haya.
1. Je mgahawa unalipa?
2. Je naanza na nini?
Wakuu mimi naamini kwa mjasiriamli yoyote yule Duniani mpaka aje na wazo lake la biashara ameisha fanya uchunguzi wa kutosha, sasa huku kwetu ni kinyume kabisa, tunakuja na mawazo halafu hatujui hata hilo wazo linamaanisha nini.
- Mfano mimi nina wazo la kufuga kuku wa halafu sijui hata hao kuku wanafananaje. wana rangi gani je wanataga au wanazaa, hayo yote sijui ila nina wazo la kufuga kuku, sasa hilo wazo nitakuwa nimelitoa wapi?
- Hivi unaenda kwenye mashindano ya kupresent wazo la biashara inafika zamu yako wanakuuliza hilo wazo lako linalipa, wewe unasema sijui kabisa, je utaanza anza vipi kutekereza wazo lako? wewe unajibu sijui
Kwa sasa matangazo ya picha na sauti hufanywa na tv's na radio. This is not right kwa sababu tv na radio zinatakiwa zipelekewe matangazo ambayo yamesha andaliwa na third parties kama wewe.
Kwa mtizamo wangu, kwanza unatakiwa kulink up na hizo media ili wakipata adverts wakupe wewe kutengeneza ili wao wazitangaze tu. utapata ujira kidogo, ingawa with time advertisers watakutambua na wataanza kuna kwako before ya kwenda kwa media.
What u should keep in mind is that currently media zinafanya hiyo kazi and you are trying to be the middle man btn media and advertisers.
So first tengeneza sample adverts of existing adverts na nebda kwa wahusika (advertisers in this case) waambie weaknesea of their current adverts going on in the media na waonyeshe wewe ungepewa hiyo kazi ungefanyaje.
Link up with the marketing guys, and promise them 20% return on every business they give u. yes Tanzania huwezi pata kazi kama hurejeshi some % to those who give u jobs. Haijalishi ni private, govt, ngo, UN org, they all take %.
Sikia kaka kuna jamaa zangu wana kampuni na wanatafta watu kama wewe ili mrun hyo kitu.If upo serious ni pm au nipe mawasiliano yako
Nahitaji pia kufanya biashara ya matangazo kwa njia hiyo naomba uniunganishe Kama itawezekanaa Nina ujuzi na ninapenda sana hiyo kazi 0754465961Sikia kaka kuna jamaa zangu wana kampuni na wanatafta watu kama wewe ili mrun hyo kitu.If upo serious ni pm au nipe mawasiliano yako