Wadau,Nimemaliza chuo kikuu mwaka jana na napenda sana kujiajiri,naomba mwenye uelewa kidogo kuhusu Biashara ya Asali anijulishe.Nikiwa na maana ya soko(place & price),mtaji kiasi gani utafaa na aina ipi ya asali(mbichi au iliyochemshwa/ ya nyuki wadogo au wakubwa) ni nzuri kwenye soko.Nipo Dar es Salaam,Roughly nilijaribu kuulizia kama mtu akiwa analeta mjini itakuwa inamgharimu kiasi gani na atauza kwa sh ngapi kwa lita 20.kuna jamaa akaniambia kuwa unaweza kuuza kwa hata 130,000-140,000Tsh kwa lita 20. Mawazo yenu please!!