Sameereltamim91
Member
- Jun 11, 2017
- 6
- 4
Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje?
Naomba muongozo
Naomba muongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Tanga.Inategemea uko sehemu gani! Kama uko Kanda ya kaskazini, Kuna kiwanda kiko maeneo ya wilaya ya longido mpakani namanga kinaitwa "eliya oversees" nafikiri ni wazuri, unaweza pata soko la uhakika.
Nilipata namba zao Ila haipatikani kabisaa namba Yao.