Nataka Kufanya Biashara ya Mazao...Naomba Mwongozo

Nataka Kufanya Biashara ya Mazao...Naomba Mwongozo

Lambardi

Platinum Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
18,813
Reaction score
21,830
Wadau JF Heshima mbele,
Naomba mwenye uzoefu wa biashara ya mazao toka mikoani mahindi,mpunga,kunde,alizeti!anisaidie nafanya utafiti nami niingie humo!naomba mwongozo wadau!
 
Ni biashara nzuri inategemea unataka kuifanya vipi? unaweza ukanunua hayo mazao kwa ajili ya kuhifadhi ukisubiri bei zipande au unanunua na kuuza, kwa sasa huko mkoa wa njombe kuna maeneo mahindi ni sh 5000 debe alizeti 5000 debe, maeneo mengine yaweza kuwa chini zaidi, kwa upande wa alizet unaweza kununua na kuchuja mwenyewe mafuta na kusafirisha mafuta kuuza dsm, debe sita zaweza kutoa lt18 hadi 20 inategemea na mbegu
 
Back
Top Bottom