Hello guys natumai nyote mko poa, ni mdau mpya jamii forum. Kwa mda huu npo Dubai na nataka nije Tanzania kufanya biashara ya mazao. Naitaji mwongozo na idea mbali mbali naombeni ushaur wenu