Nataka kufanya Biashara ya Mitumba, ina changamoto gani?

Nataka kufanya Biashara ya Mitumba, ina changamoto gani?

Kwetusongea

Senior Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
110
Reaction score
41
Habari,

Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au kwa aliyepo Moro anaejua minada inapofanyika na siku zake na malipo kwa siku inakuwaje na upatikanaji wa eneo.

Asante.
 
Wataalamu wanakuja..kuwa na subra. Pia Kuna uzi humu wa masuala ya mitumba utafute Ni uzi mzuri sana.
 
Inategemea nguo za aina gani unataka kuuza,kwa Dar minada ipo mingi na kila siku kuna mnada we nenda mnada mmoja wapo utapata ratiba kamili, changamoto zake kupigwa na jua watu kupenda vya bei rahis hvo kua makini na bei utayochukulia mzgo.
 
Inategemea nguo za aina gani unataka kuuza,kwa dar minada ipo mingi na kila siku kuna mnada we nenda mnada mmoja wapo utapata ratiba kamili, changamoto zake kupigwa na jua watu kupenda vya bei rahis hvo kua makini na bei utayochukulia mzgo.
Ok asante sana
 
Habari,

Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au kwa aliyepo Moro anaejua minada inapofanyika na siku zake na malipo kwa siku inakuwaje na upatikanaji wa eneo.

Asante.
Vp ulishaanza? Ili nasi utupe maujuzi nina mpango pia kama wako ila sijajua pakuanzia nipo tanga korogwe
 
Back
Top Bottom