wadau nataka niwe nafanya biashara ya rim msimu wa shule zinapofungua..wakati huo nakuwa nimeshapitia mashule kadhaa na kujihakikishia soko kabla shule hazjafunga..ivo nisaidien ambapo naweza pata duka la bei ya jumla kwa katoni,ili mi niweze kuuza tofauti na zinavouzwa stationary.,mi nipo Mbeya..
Nawasirisha.
Nawasirisha.