Mimi ni mzaliwa wa moja ya mikoa ya nyanda za juu, lakini simshauri mtu kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi & Maharage hawezi kufanikiwa, Labda: vitunguu, Viazi mviringo, Nyanya.

Umeona Dadaangu, watu wengine wanawapotosha sana wenzao, Mimi niko Songea, huku Mahindi yanawatoa sana watu, tena siyo kidogo, jamaa sijui mara ya mwisho kufika kwao sjui ilikuwa lini!