Nataka kufanya hii Biashara ina Maslahi?

DATOGA

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
82
Reaction score
24
Ndg wana jamvi habari zenu,

Natamani sana kufanya hii biashara ya Uwakala (agent) wa M-pesa, tigo pesa, Airtel money, ikibidi nianze any time sema sina uhakika ufuatao hapo chini, NAOMBA MWENYE UFAHAMU ANIJUZE KWA UFASAHA.

1. Je INALIPA?
2. Je nitajuaje napata faida nayo
3. Nitapataje TIN no na LESENI ya Biashara?
4. Je Uajenti wa LUKU, Dstv, Maji, etc nitapataje?

Please ndg zangu mwenye uelewa anisaidie jamani, thanks
 
TIN hutolewa BUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE na TRA ogopa tapeli,mkuu!
 
Sio mnampa moyo tuuu kirahisi inalipaaaa.....inalipa vipi?..asilimia ngapi ya mauzo inakuwa kamisheni yake?...wekeni data hapa watu tuelimike...hayo mlotoa ni majibu rahisi kwa swali gumu linalohitaji details za kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…