M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Usimkatishe tamaa mwenzioKwa point hizo nadhani hutafanikiwa na umemtaja Masogange nadhani umejiandaa kutekwa.
Hujui ni chakula cha usiku cha bashite aka zero brain.Waniteke kisa nini?
Unauhakika huyu jamaa ana mafikilio ya kijinga? Au hujamuelewa! Free ideasKijana unamafikirio ya kijinga sana.
Lala nae kwanza Masogange ndipo ujue kilichompara Roma MlatolikiWaniteke kisa nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji485] [emoji485] [emoji485]Ha ha ha ha hauwezi kuwa serious yani umlambe staa kama wema,malaika ,masogange nk kisa vibia tu mkuu naona utakuwa huwajui mastaa.
Nitupie pm hiyo number plsMi nina ya tunda tu njoo uchukue kama wahitaji plus models
Alaaaa hivi kumbeee eeee
Unatoa miambili elfu kisa upate k ,huo ni ujingaKunadogo langu alikua anasoma UD boom lilipotoka akaenda club maarufu dsm.
Akakutana na katoto kabongo movie kale kenye kesi ya mauaji.kakamwambia laki 3,dogo akakapa laki 2.Akakatafuna ad asubui
miaka iyo