Nataka kufanyia biashara gari aina ya Land Rover One Ten

Nataka kufanyia biashara gari aina ya Land Rover One Ten

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
375
Naombeni mnishauri jinsi gani naweza kuitumia gari aina ya Land Rover One Ten kibiashara zaidi...Napatikana Dar.

Gari ni ya kizamani lakini engine ipo poa na body nzuri...Sasa naona kwa mazingira yangu ya Dar inakuwa haizalishi.Naombeni ushauri (fursa) jinsi ya kuifanya iwe productive.Nipo tayari kuifuata fursa popote.

Karibuni ma GT kwa ushauri na mawazo yenu.Mmbarikiwe
 
Nenda na gari yako arusha, kawakodishie wamiliki wa mahoteli. Wenye hoteli zao kule huwa wanageuza kuwa magari ya kutalii wageni. kuwa makini waaweza kukuibia pia.
 
Nenda na gari yako arusha, kawakodishie wamiliki wa mahoteli. Wenye hoteli zao kule huwa wanageuza kuwa magari ya kutalii wageni. kuwa makini waaweza kukuibia pia.

Thanks mkuu,Huwa wanakodisha kwa pesa ngapi??...samahani lakini unaweza fahamu mtu anayefanya biashara hiyo hata niweze kumtafuta anipe ideas?
 
Back
Top Bottom