Naombeni mnishauri jinsi gani naweza kuitumia gari aina ya Land Rover One Ten kibiashara zaidi...Napatikana Dar.
Gari ni ya kizamani lakini engine ipo poa na body nzuri...Sasa naona kwa mazingira yangu ya Dar inakuwa haizalishi.Naombeni ushauri (fursa) jinsi ya kuifanya iwe productive.Nipo tayari kuifuata fursa popote.
Karibuni ma GT kwa ushauri na mawazo yenu.Mmbarikiwe