majid salim
Member
- Dec 10, 2019
- 25
- 7
Nilikuwa nataka nifanyie home 2 unaweza kuniambiya mafuta yanaitwaje msaada wako tafadhaliMafuta salon yapo ila ukitaka yako ni vyema zaidi hata ww unaweza jifanya om,
Ndo naanza mm sijawah kufanya hivyoMafuta salon yapo ila ukitaka yako ni vyema zaidi hata ww unaweza jifanya om,
Kama unazo tayari unaenda ku repair ni sh 10000, kutengeneza na ku style simple,
Kama hauna ndo unaanza salon nyingi wanaanzisha kwa sh elfu 40000
Dread wax nahisi au waambie mafuta ya dread na kuna mengine yanaitwa all sunnilikuw natak nifanyie home 2 unaweza kuniambiya mafuta yanaitwaje msaada wako tafadhali
Kama hauna idea nayo jitahidi ukaanzie salon zikikomaaa ndo upambane nazo maana utakua umeona wanavyofanya au unafatilia videos youtubendo naanza mm sijawah kufanya hivyo
OK thankKama hauna idea nayo jitahidi ukaanzie salon zikikomaaa ndo upambane nazo maana utakua umeona wanavyofanya au unafatilia videos youtube
Mafuta yamejaa madukani, yana kopo jeupe na mfuniko wa kijani, picha ya rasta.OK thank