Nataka kufuga kuku, nifuge kuku wa mayai au nyama, kwa dar,

Nataka kufuga kuku, nifuge kuku wa mayai au nyama, kwa dar,

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
395
Reaction score
292
Naomba ushauri wenu, kuku gani ni wa faida kwa dar, banda linaweza kunigharimu kiasi gani, nianze na kuku kiasi gani, kuku wa kampuni gani ni bora zaidi.

Nawasilisha
 
Check na
Arusha kuku farm
Simu 0715064992/0718969610
Utashaurika vema sana
 
Epuka Biashara wanazoweza kufanya wastaafu Na wenye Msongo wa Mawazo Kwa Afya yako
Sio sawa, kuna watu wamewekeza kwenye ufugaji wa kuku na wanaendesha maisha yao huko bila stress wala nini.
 
Naomba ushauri wenu, kuku gani ni wa faida kwa dar, banda linaweza kunigharimu kiasi gani, nianze na kuku kiasi gani, kuku wa kampuni gani ni bora zaidi.

Nawasilisha
tafuta vifaranga wa nyama wa wiki mbili mpaka tatu ukianza nao mpaka msimu wa sikuku unakuja utakula ela mkuu
 
Huu mchezo usiuchezee, kuku wengi wa nyama kwa sasa subiri hadi walau kwenye mwez wa 4 mwakan fuga, ila kwasasa usifanye utapata pigo ambalo utajutraaa ndg.
 
Epuka Biashara wanazoweza kufanya wastaafu Na wenye Msongo wa Mawazo Kwa Afya yako
Mawazo mgando haya!!
Watu wanafuga kuku Na wamefanikiwa sana we endelea kujidanganya
 
Naomba ushauri wenu, kuku gani ni wa faida kwa dar, banda linaweza kunigharimu kiasi gani, nianze na kuku kiasi gani, kuku wa kampuni gani ni bora zaidi.

Nawasilisha
Ukianza na kuku laki moja si mbaya.
 
Mimi nina banda la kuku 1500, sema natafuta shareholder, wa kuchangia mtaji
 
Back
Top Bottom