Cruel mpole
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 106
Salam aleikum,bwana Yesu asifiwe.AMEN.Nimekaa chini nikafikiria nianze kufuga kuku hawa coz nimeona ni dili hapa dar.Hivi sasa nimeanza kujenga banda lakini naona kama nimekurupuka coz sijapata ushauri kutoka kwa watu,Hivyo kama una utalaam wa kufuga,jaribu kunidadabulia nipate mautundu na mimi niweze kuwahudumia pindi nitakapo waweka bandani.