Frank Msambila
New Member
- Sep 7, 2017
- 3
- 2
Hasie huwa sijisumbui kujib wanaoandika hiviNauliza. Nataka kufuga mbwa lkn hasie na madhara wala sio kwa urembo wa sebuleni. Awe normal wa nje mwenye kucheza cheza na upendo. Sipendi mwenye manyoya mengi sana kwasabab ya usafi.
Naombeni ushauri wa jina la Mbwa. Na ikiwezekana sehemu ambazo anapatikana
Fuga tpto la fisiNauliza. Nataka kufuga mbwa lkn hasie na madhara wala sio kwa urembo wa sebuleni. Awe normal wa nje mwenye kucheza cheza na upendo. Sipendi mwenye manyoya mengi sana kwasabab ya usafi.
Naombeni ushauri wa jina la Mbwa. Na ikiwezekana sehemu ambazo anapatikana