Nataka kufuga ndege tausi

Labda alijua ni kama wale kuku broiler... inataga tu baada ya kula without kupandwa
 
Hii sio ile mambo ya kitoto kuweka unyoya wa tausi katikati ya daftari na kuweka maganda ya pensil baada ya kuchonga.
 

Nishukuru kwa majibu yako ya kina lakini hata hvyo wa kike anaitwa peahen
 

Ni kweli kabisa. Ni kama vile ambavyo Albino huwa hawafi bali hupotea tu. JUST KIDDING! HA! HA! HA!
 
Sitaki kukujibu vibaya mdogo wangu, nikushauri tu kuwa kama umesoma sayansi ya viumbe hai huwezi kuwa na wazo kama hilo ulilokuja nalo. Ni hayo tu, hao walokujibu vibaya ni kuwa wameshindwa kuzuia hisia zao!!! Mshomba
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kama hao ndege wanaendelea kuonekana hapa duniani basi ujue wanazaliana.Hakuna haja ya kubishana.
 
Habari wadau,
Ninatafuta tausi na ndege wengine wasiopaa kwa ajili ya kufuga kama urembo. Je nitapata wapi kwa bongo?
 
Nani kasema??? Labda kama,utawafuka kibongo bongo ila kama utafuatilia na kupata kibari hakuna hata mtu mmoja atakaye kupa shida

Wewe tafuta kibari na ukipata funga upige pesa kwa uraini
 
Habari wadau,
Ninatafuta tausi na ndege wengine wasiopaa kwa ajili ya kufuga kama urembo. Je nitapata wapi kwa bongo?

Tausi kumpata kwa bongo ni ngumu kwa sababu hawapatikani kokote sio asili yao hapa. Tausi unaowaona mitaa ya magogoni mpaka makumbusho ya taifa tulipewa kama presidential gift nadhani from india. Hivyo ukikutwa na tausi kibongo bongo utatuhumiwa kuiba zawadi ya rais. Teeheeeheee! Lakini kama una mshiko unaweza kuagiza wanyama toka nje ya nchi kwa kufuata taratibu husika za nchi mfano dar zoo wana baadhi ya specie za nje kama nyani wa india na water buffalos.
 
Juzi mikutano ya ccm ilihudhuriwa na Fisi, pengine ukicheki na mtu wa ccm awezakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…