Nataka kufuga ndege tausi

hao ndo wale ndege tulo zuiwa kuwafuga majumbani ila kanga ndo tunafuga tu
 
[QUOTEm5, post: 16767472, member: 196493"]Wapo wengi tu pale jengo jeupe![/QUOTE]
wengi wameshapandishwa ndege
 
Huwa wanatoka, huwa wanaonekana viunga vya jirani na pale, Ila usisubuthu kumhujumu, utajikuta upo chini ya MIKONO SALAMA.
Ina maana wanalindwa kama bosi pia; nilitaka kamata mmoja siku moja nikajilie supu baada ya kuambiwa supu yake inaongeza nguvu za nanniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…