Ina maana wanalindwa kama bosi pia; nilitaka kamata mmoja siku moja nikajilie supu baada ya kuambiwa supu yake inaongeza nguvu za nanniii
lol!Mimi huwa nawaona wamo ndani tu nadhani huwa hawatoki nje. Kunguru ndo hutoka nje.
Mmmmmh, ina maana ndege ana thamani kubwa kuliko yale madude yenye ndefu zaidi ya yule mwanamama wa Myanmar yaliyopandishwa kwenye "dege" hadi muanze kuniletea colgate badala ya kwenda kujinunulia mwenyewe.unataka kutuongezea ratiba nduguzo, ya kuja kukuletea kolget na mswaki SEGEREA!
Huyu ndege na lile dude refu lililopandishwa ndege, ni vipusa, nyara za serikali. Huyu ndege ukikutwa na unyoya wake, watakuambia uwaonyeshe alipo ndege!Mmmmmh, ina maana ndege ana thamani kubwa kuliko yale madude yenye ndefu zaidi ya yule mwanamama wa Myanmar yaliyopandishwa kwenye "dege" hadi muanze kuniletea colgate badala ya kwenda kujinunulia mwenyewe.
Ukitaka kumjua mmiliki, kamata mmoja uondoke naye.mbona hata mitaa ya ohio pale kama unateremsha gym khana wapo tele tu tena kwenye miti,huwaga sijui ni wa nani maeneo yale maana wamezagaa..
Duuh hii noma sana umenikumbusha familia moja kule Shinyanga ilikutwa na mkia sijui wa mnyama gani yule ikabebwa kwa kosa la kumiliki nyara za serikali wakati uo huo ikatuhumiwa kumiliki lile zao pendwa alilokuwa analipigania mbunge mmoja lilimwe kihalali huku Musoma kisa tu kisa tu ilikuwa na mboga ijulikanayo kama mzubo.Huyu ndege na lile dude refu lililopandishwa ndege, ni vipusa, nyara za serikali. Huyu ndege ukikutwa na unyoya wake, watakuambia uwaonyeshe alipo ndege!
Yaani ndio hivo.Duuh hii noma sana umenikumbusha familia moja kule Shinyanga ilikutwa na mkia sijui wa mnyama gani yule ikabebwa kwa kosa la kumiliki nyara za serikali wakati uo huo ikatuhumiwa kumiliki lile zao pendwa alilokuwa analipigania mbunge mmoja lilimwe kihalali huku Musoma kisa tu kisa tu ilikuwa na mboga ijulikanayo kama mzubo.
ni tausi wapo pale botanical garden..
Mbona nasikia kuna wahuni ferry kule walikamata wakapiga kisu, kitu pwaniAha ha haha, basi ntakuwa natembea na manati nikipita mitaa ile ya ferry, au ntang'olewa meno bila ganzi nikipiga ndege mmoja,,,,just kidding
huyo ni bata mzinga kapakwa rangi.
Ila kipindi cha mzee ruksa nasikia walipunguaga sana...eti nao walipanda ndege kama twiga...nasikiaga...Wapo wengi tu pale jengo jeupe!
Namkumbuka kilonzo na suguUmemkumbuka Mjuba na nduguze? [emoji12]