Nataka kufuga Ng'ombe wa Maziwa, Naomba ushauri

Nataka kufuga Ng'ombe wa Maziwa, Naomba ushauri

rungemba

Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
76
Reaction score
6
Nataka kuanza kufuga ng'ombe wa maziwa. Nifahamishwe Aina bora ni ipi.. Matunzo yake na ngombe moja anaetoa Lita 20_30 kwa siku. Pia naweza Kupata wap
 
Kama wewe Rungemba kwenu ni Rungemba niambie ili nikupe kitu cha kufanya ili uweze kufuga hao ng`ombe.
 
Aanza na ngombe wa kawaida Zen badae unakuja kumpandikiza kwa kuchagua mbegu Za mirija toka south Africa n.k, ilo toleo litakalokuja ndo litakidhi matakwa unayoitaji,
 
Back
Top Bottom