Nataka kufunga ndoa bila sherehe

Safi sana mkuu.
 
Haina madhara kabisa, tena zinadumu kuliko za sherehe kwenye boat na kumbi mbalimbali.
Ila ya kwangu lazima niwachezeshe kwaito kama navozicheza mimi now
Mpaka leo bado?? Treni itakuacha!!
 
Hii hela angeweka njombe kwenye miti mpaka leo angekuwa ana hela ya kupush Lexus Land Cruiser mang'ana tu! Na nyumba kadhaa mjini hapo
Na sasa hivi mambo yake yamekuwa magumu kweli kweli!

Full kukumbuka hela yake ya harusi[emoji24]

Kuoa masistaduu Kazi kwelikweli!
 
Mkuu naomba nisaidie hicho kifungu cha sheria kinachosema

NDOA LAZIMA UWE NA SHEREHE
Atakuwa bidada huyoo...mwanamke ndoa bila harusi anaona ni matusi makubwa kwake!

Watu tumetofautiana asee....nilivyo na uchungu na hela, halafu kirahisi rahisi ikalipiwe ukumbi, sijui Gari la kutubeba, kunywesha watu bia! Mume wangu hajafanya huo upuuzi nikamvumilia!
 
Ilikuaje mkuu mpaka leo anajuta?
Mke wake ni wale madada duu ( wanaopenda kujionesha kwa wanawake wengine kuwa wamepata mabwana matajiri)...

So wife ndo alifosii kingi afuu mama wa nyumbani sasa!

Sasa now upepo umegeuka bro hali yake sio nzuri kifedha, ndo anakumbuka hela zake sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi pia mwez wa 10 napiga ivoivo[emoji3] biashara za kuanza kulipa madeni baada ya harusi cztak..
 
Kweli maish yanabadilika na sisi lazima tubadilike.
 
Sina uhakika km hii kheri umeitoa kwa moyo wote..! Wadada mnavyopenda harusi what if ungekuwa ni wewe unayeolewa??
Mimi sipendi sherehe
Kanichagua niwe wake wa maisha,tunabariki,maisha yanaendelea
 
Na sasa hivi mambo yake yamekuwa magumu kweli kweli!

Full kukumbuka hela yake ya harusi[emoji24]

Kuoa masistaduu Kazi kwelikweli!
Ujinga huo, we put money on long term investments...Mwambie apambane na hali yake, ufahari huo sionagi maana yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…