Nataka kufunga ndoa mwakani mwezi wa 12 tarehe 25

jitahidi kujichanganya club utawapate 2 weeengi................huh
 
Hahahahaaa umenikumbusha series iliyoisha hivi karibuni
 
Mie namuonea huruma huyo muolewji, keshapangiwa na tarehe haijalishi yuko kwenye red carpet au vipi
 
Mie namuonea huruma huyo muolewji, keshapangiwa na tarehe haijalishi yuko kwenye red carpet au vipi
Usimuonee huruma bhana, lakini hiyo pia inatizamwa eeh?
 
<font color="#ff0000"><span style="font-family: comic sans ms">Natangaza rasmi kuwa according to my plan nitafunga ndoa tarehe 25/12/2012. Now the hunt for my wife to be start now officially</span></font>
<br />
<br />
mwambie Nazjaz
 
kama unamtaka kutoka jf kwa wazawa wa jf stori wakupe.tuombe ushauri.mbona wapo tu..wapo.PAW mshirikishe.mi mwenye kudo kabinti nilitaka ntangaze ndoa humuhumu kakantolea nje.kanakaa mkoa.sasa hivi ningekua baba fulani.lakini bado nammendea kwa mbali coz nampenda sana.mia
 
Sio niliona kesi yako hapa last week?
 
Mh!Hujui kuwa 21/12/2012 ni mwisho wa dunia?Teh,teh,teh,i'm jokin'!Anyway wish u all the best!
 
Mh!Hujui kuwa 21/12/2012 ni mwisho wa dunia?Teh,teh,teh,i'm jokin'!Anyway wish u all the best!
I will stick to my plan in the next life
 
kwani hujaoa? Maana kile chama cha mabachelor jf huwa sikuoni
Kama na wewe umo then ntajoin kama haumo bora tukutane hukuhuku mtaani, Lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…