Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Oy wazee wa tech nilikua na wazo la kufungua ad network
ambayo ni special sana kwa blogu za kuswahili ila lugha nyingine nitalipa pia
japo bado nipo kwenye mawazo wapi nitapata matangazo au publishers
Haya nimelileta kwenu vipi mtanisapoti au ?????? Wenye blog/tovuti
N.B NATENGENEZA BLOGU ZA BLOGGER BUREE KWA MAKUBALIANO FLANI HIVI NJOO PM