Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,793 Nov 8, 2016 #1 Wana JF, nishaurini juu ya uamuzi wangu huu, maana kuna jamaa amenitisha eti kufungua akaunti kwenye hii benki ni sawa na kibonge kukwea mti wa Mpapai!
Wana JF, nishaurini juu ya uamuzi wangu huu, maana kuna jamaa amenitisha eti kufungua akaunti kwenye hii benki ni sawa na kibonge kukwea mti wa Mpapai!
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Nov 8, 2016 #2 Mbona mm kibonge na napanda mpapai