Pare Mountains
Member
- Jan 7, 2014
- 13
- 1
Habari wakuu, niko Mwanza maeneo ya pasiansi nataka kufungua babyshop itakayouza vitu kama nguo,pampers,diapers,vyombo vya kuwalishia, basins, midoli, baby walker etc. Soko lipo. Naomba ushauri kuhusu wapi ntapata mzigo(supplier)? Nimetenga 2m kwa kuanzia apart from rent. Kwa ambao washafanya hii biznez vp inalipa?