Cable itakushinda kutokana na kesi utakazopewa. Kuna channels pendwa na watu nazo zipo kwenye ving'amuzi. Kuna mpira ambapo ligi zote zina hakimiliki ya warusha matangazo. Vyote hivi unaweza kuwa navyo ila mfano Azam wakali sana ukikamatwa na kazi zao