Nataka kufungua biashara ya duka la bidhaa ndogo ndogo za nyumbani

Nataka kufungua biashara ya duka la bidhaa ndogo ndogo za nyumbani

Money gang

New Member
Joined
May 4, 2021
Posts
3
Reaction score
4
Habari wana JF,

Samahani katika harakati za kujikwamua kimaisha nimepanga nifungue biashara ya duka la bidhaa za nyumbani kama vile viduka vyetu vya mtaani vya mangi.

Kwa ambaye amewahi kufanya hii biashara anisaidie ushauri, natakiwa niwe na mtaji kama shilingi ngapi? Na gharama za leseni ya biashara pia ni shilingi ngapi?

1621428900849.png

 
Back
Top Bottom