Habari Wana JF naomba wenye ujuzi wa biashara mnifahamishe kuhusu hili:
Nataka kufungua duka la dawa za mifugo yaani veterinary drugs, ninahitaji vitu gani na gharama zake zikoje ukiacha mtaji wa biashara yenyewe ili itambulike kisheria? (TRA, TFDA, HALMASHAURI etc.)