Fuata ushauri huu[emoji121][emoji121][emoji121]Fungua ata kigeleji kidogo cha kurekebishe pkpk na kufunga spare then duka litakuja badae
Mimi sio fundi garage nitaiendesha vpFungua ata kigeleji kidogo cha kurekebishe pikipiki na kufunga spare then duka litakuja badae
Frem ipo ndioDuka la spare kwa milioni moja
Umeshapata frame?
Lazima uweke ulinzi imara maana wezi wako watakuwa ni wale wale wateja walionunus spare za 70,000 au 90,000 wanajua una hela. Kuvunjiwa usiku usishangae. Ikiwezekana weka chumba nyuma ya frame kuwe na mtu ana lala.