malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Milion 30 ndo uendeshe nursery school? Mna michezo nyieKama Una above 30M weka UTT .
English medium pre and primary school 30M kwa kuanzia ni ela ya kawaida kutegemea location na demand.Milion 30 ndo uendeshe nursery school? Mna michezo nyie
Nina mtaji wa 70mUna mtaji kiasi gani
Nawajitajo hao waliokusaidia kufanya utafitiFanya utafiti wa kina je watu wa eneo Hilo wanaitaka elimi yenye ubora wa hali ya juu na je wanauwezo wa kulipa kulingana na ubora. Kisha jiulize unaweza kutoa elimu yenye ubora wanaoutaka na Kwa Sasa hayupo kwenye eneo lako?
Wapo jamaa walinisaidia kufanya utafiti ingawa ni ghali lakini walinipa kitu ambacho mpaka kesho nakiishi.
Ukiwahitaji njoo inbox