Nataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara tofauti ndani yake, naomba ushauri

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Nimepitia thread kadhaa hapa zikieleza namna ya kufungua kampuni na kukamilisha taratibu zote. Nimefaidika sana na nyuzi hizo.

Mimi ninataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara tofauti ndani yake kama ilivyo kwa kampuni ya Mohammed Enterprises (kimuundo). Nataka kufungua kampuni ambayo itaruhusu vijibiashara vidogo vidogo kufanywa na kampuni mama.

Msaada ninaohitaji ni:

1: Njia za kufungua kampuni mama zitabaki zile zile?
2: Ndani ya kampuni mama kama nitaanzisha biashara mfano, kampuni ya utalii na logistic, baadae nikaona niongeze shule, then nikaanzisha kampuni ya kufuga na kuuza vyakula n.k.

Je, kazi hizo ndogo ndani ya kampuni mama nazo nitalazimika kufungulia makampuni au itatosha kuwa na leseni tu kwa ajili ya biashara hizo?

Naombeni ushauri wa kitaalam ili nione njia sahihi ya kulifanya hivi. Nisije jikuta hadi uzeeni nina kampuni 100.
 
Salam!
Nimepitia maelezo yako na ntajiatahidi kukujibu kwa lifup Kama ifuatavyo;-

Kifupi unapoenda kusajili kampuni kina kiwa na Memorandum, ambayo ndani yake kunakuwa umeeleza Objects za kampuni...Kama ni kuuza mbao utataja,Kama ni mashule,Kama kuuza magar n.k utakuwa umeeleza.

ukishasajili utakuwa unatafuta resen tu ya biashara husika kwa wakati huo kwa jina lilelile na TIN ile ile.
 
Nyongeza ya ushauri ila siyo wa mwisho: Hakikisha kwenye memorandum unaorodhesha kazi zote ambazo unahisi kampuni itaweza kuzifanya hata kwa miaka ya baadaye sana. Hakikisha kuna wakurugenzi/wanahisa wa kampuni wasiopungua 2 wenye umri usiopungua miaka 18.
 
Nimepitia thread kadhaa hapa zikieleza namna ya kufungua kampuni na kukamilisha taratibu zote. Nimefaidika sana na nyuzi hizo.

Mimi ninataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara tofauti ndani yake kama ilivyo kwa kampuni ya Mohammed Enterprises (kimuundo). Nataka kufungua kampuni ambayo itaruhusu vijibiashara vidogo vidogo kufanywa na kampuni mama.

Msaada ninaohitaji ni:

1: Njia za kufungua kampuni mama zitabaki zile zile?
2: Ndani ya kampuni mama kama nitaanzisha biashara mfano, kampuni ya utalii na logistic, baadae nikaona niongeze shule, then nikaanzisha kampuni ya kufuga na kuuza vyakula n.k.

Je, kazi hizo ndogo ndani ya kampuni mama nazo nitalazimika kufungulia makampuni au itatosha kuwa na leseni tu kwa ajili ya biashara hizo?

Naombeni ushauri wa kitaalam ili nione njia sahihi ya kulifanya hivi. Nisije jikuta hadi uzeeni nina kampuni 100.
Habari ndugu,
Kwema?
 
complication! hivi ukitumia branch TIN ndoto hazitotimia
 
Inategemea kiongozi, inawezekana zisitimie...
ok! pengine sijajua utofauti wake! mf nina hardware ambayo nina TIN na leseni yake nikaamua kufungua bar inaenda kutoka branch TIN na leseni yake na hata nikitaka kufungua duka la nguo ni hivyohivyo japo watu hawafanyi hivyo coz ya gharama vp muundo huo ni tofauti na hicho unacho taka
 
Nimepitia thread kadhaa hapa zikieleza namna ya kufungua kampuni na kukamilisha taratibu zote. Nimefaidika sana na nyuzi hizo.

Mimi ninataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara tofauti ndani yake kama ilivyo kwa kampuni ya Mohammed Enterprises (kimuundo). Nataka kufungua kampuni ambayo itaruhusu vijibiashara vidogo vidogo kufanywa na kampuni mama.

Msaada ninaohitaji ni:

1: Njia za kufungua kampuni mama zitabaki zile zile?
2: Ndani ya kampuni mama kama nitaanzisha biashara mfano, kampuni ya utalii na logistic, baadae nikaona niongeze shule, then nikaanzisha kampuni ya kufuga na kuuza vyakula n.k.

Je, kazi hizo ndogo ndani ya kampuni mama nazo nitalazimika kufungulia makampuni au itatosha kuwa na leseni tu kwa ajili ya biashara hizo?

Naombeni ushauri wa kitaalam ili nione njia sahihi ya kulifanya hivi. Nisije jikuta hadi uzeeni nina kampuni 100.
Watafute hawa afro-link consultant humu ndani ndio kiboko ya usajili wa makampuni na wanaushauri mzuri sana kibiashara na watakufafanulia kile unachokiitaji
 
Habari Mkuu talentbrain
Japo uzi wa muda mrefu lakini ngoja niufafanue kwa manufaa ya sasa na baadae

A: Usajili wa kampuni
Taratibu ni zile zile za kawaida kuwa kutakuwa na
1. MEMART,
2. Mtatakiwa kwa idadi kuwa zaidi ya wawili lkn msizidi 50 (kwa mujibu wa sheria ya JMT yausajili ya makampuni ya 2002)
3. Mtatakiwa kuwa na vitambulisho vya Taifa, 4. Muwe na TIN binafsi na
5. Kukamilisha vielelezo vingine km form no 14b

B: Mwongozo juu ya MEMART
Ktk sehemu ya kwanza ya MEMART ie "Memorandum of Association" jitahidi iwe na biashara zote ambazo wafanya sasa na zile unazotarajia kufanya hapo baadae. Hii ili kufit kwa biashara zozote ambazo baadae kama mnatarajia kufanya basi mzifanye tu

C: Kufanya biashara kama "Group of Company"
Kuna njia mbili ambazo waweza kufanya lakini zote utafanya chini ya jina moja la kampuni. Mfano umesajili THE TALENT BRAIN GROUP LIMITED. Hapa waweza kufanya hivi:
1. Utakuwa wachukua leseni ya biashara kwa kila biashara iliyosajiliwa ktk MEMART
AU
2. Unasajili jina la biashara lkn mmiliki wa jina hilo la biashara anakuwa kampuni mama ie THE TALENT BRAIN GROUP LTD.
Mfano: unatoa huduma ya elimu, na hii ni ni mojawapo ya biashara uliyoiainisha ktk MEMART na hutaki isimame chini ya jina la kampuni bhasi utasajili mfano "The talent school" lkn ktk umiliki itakuwa kampuni.
Nimepitia thread kadhaa hapa zikieleza namna ya kufungua kampuni na kukamilisha taratibu zote. Nimefaidika sana na nyuzi hizo.

Mimi ninataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara tofauti ndani yake kama ilivyo kwa kampuni ya Mohammed Enterprises (kimuundo). Nataka kufungua kampuni ambayo itaruhusu vijibiashara vidogo vidogo kufanywa na kampuni mama.

Msaada ninaohitaji ni:

1: Njia za kufungua kampuni mama zitabaki zile zile?
2: Ndani ya kampuni mama kama nitaanzisha biashara mfano, kampuni ya utalii na logistic, baadae nikaona niongeze shule, then nikaanzisha kampuni ya kufuga na kuuza vyakula n.k.

Je, kazi hizo ndogo ndani ya kampuni mama nazo nitalazimika kufungulia makampuni au itatosha kuwa na leseni tu kwa ajili ya biashara hizo?

Naombeni ushauri wa kitaalam ili nione njia sahihi ya kulifanya hivi. Nisije jikuta hadi uzeeni nina kampuni 100.
.
 
Naam Mkuu kofuli
1. Usajili wa TIN
TIN mama husajiliwa mara moja tu. Ambapo TIN hii ndiyo itakayokuwa unalipia kodi mbalimbali

2. TIN ya Tawi
Hii ina maana labda una tawi au aina zaidi ya moja ya biashara ambazo zp mbalimbali. Hivyo utaomba kusajili TIN ya Tawi

3. Biashara zaidi ya moja
Kwa mfano uliotoa utalazimika kuwa na leseni tofauti tofauti kutokana na aina ya biashara. Kisheria na sahihi zaidi hata kama una biashara ya aina moja lkn ktk sehemu mbili tofauti jp zipo karibu kabisa unatakiwa kuwa na leseni kuu moja na leseni ya tawi pia

4. Utofauti wa "group of company"
Hii inakuwa kila biashara ina jina lake lkn umiliki upo chini ya kampuni kuu.
ok! pengine sijajua utofauti wake! mf nina hardware ambayo nina TIN na leseni yake nikaamua kufungua bar inaenda kutoka branch TIN na leseni yake na hata nikitaka kufungua duka la nguo ni hivyohivyo japo watu hawafanyi hivyo coz ya gharama vp muundo huo ni tofauti na hicho unacho taka
 
Marekebisho madogo hapo ktk umri wa Wakurugenzi. Walau wawe na miaka 21 na sio 18. Anaweza kuwa mwanahisa tu lkn sio Mkurugenzi akiwa na miaka 18
Nyongeza ya ushauri ila siyo wa mwisho: Hakikisha kwenye memorandum unaorodhesha kazi zote ambazo unahisi kampuni itaweza kuzifanya hata kwa miaka ya baadaye sana. Hakikisha kuna wakurugenzi/wanahisa wa kampuni wasiopungua 2 wenye umri usiopungua miaka 18.
 
ok! pengine sijajua utofauti wake! mf nina hardware ambayo nina TIN na leseni yake nikaamua kufungua bar inaenda kutoka branch TIN na leseni yake na hata nikitaka kufungua duka la nguo ni hivyohivyo japo watu hawafanyi hivyo coz ya gharama vp muundo huo ni tofauti na hicho unacho taka

Habari Kiongozi.
pole kwani sikuwako hweani kwa sababu za kiutendaji.

Bila shaka umepata majibu mazuri kutoka kwa wadau hapo juu,

kwa uchache naweka sawa tu kua kampuni yaweza kua JINA La KAMPUNI ama UBIA ambazi hazihitaji Memorandam na garama yake ni ndogo sana,bila shaka ndiyo unamiliki hiyo au utapendelea.

kwa upande wa TIN, kampuni moja humiliki namba moja tu hata kama vyanzo vya kodi ni vingi, kama vile wewe utakavyo.kwa maana nzuri zaidi kampuni ni mtu halisi kisheria hivyo hawezi kuwa na TIN zaidi ya moja ila leseni zaidi ya moja , yawezekana na ni ruksa kabisa

kwa ushauri zaidi tupigie bila garama yeyoyote, huduma zetu ni bei rahisi kuliko maelezo na kwa muda mfupi
 
Back
Top Bottom