talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Nimepitia thread kadhaa hapa zikieleza namna ya kufungua kampuni na kukamilisha taratibu zote. Nimefaidika sana na nyuzi hizo.
Mimi ninataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara tofauti ndani yake kama ilivyo kwa kampuni ya Mohammed Enterprises (kimuundo). Nataka kufungua kampuni ambayo itaruhusu vijibiashara vidogo vidogo kufanywa na kampuni mama.
Msaada ninaohitaji ni:
1: Njia za kufungua kampuni mama zitabaki zile zile?
2: Ndani ya kampuni mama kama nitaanzisha biashara mfano, kampuni ya utalii na logistic, baadae nikaona niongeze shule, then nikaanzisha kampuni ya kufuga na kuuza vyakula n.k.
Je, kazi hizo ndogo ndani ya kampuni mama nazo nitalazimika kufungulia makampuni au itatosha kuwa na leseni tu kwa ajili ya biashara hizo?
Naombeni ushauri wa kitaalam ili nione njia sahihi ya kulifanya hivi. Nisije jikuta hadi uzeeni nina kampuni 100.