Nataka kufungua Kampuni ya matangazo naombeni ushauri vitu vya kuzingatia ili kutengeneza jina

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Ndugu zangu nataka kufungua Kampuni ya matangazo ambayo itakuwa inahusiana kutangaza biashara za watu na makampuni tofauti tofauti.

Hivyo naombeni ushauri ni vitu gani vya kuzingatia lakini pia jinsi gani ya kuanza ili kutengeneza jina ili nipate watu wengi ambao watatangaza kupitia mimi.

Ushauri wenu ndugu.
 
Kwanza kuwa na human resources ambao ni talented and creative.
 
Una wazo kama langu mzee ebhu nitafute whatsapp tushare something 0715058481
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…