wildcaretz
Member
- Jan 11, 2017
- 13
- 7
Pamoja mkuuMkuu Akifanikiwa nikumbuke kwenye ufalme wako
Asante ndugu na vipi upatikanaji wa watalii unapataje maagenttafuta tour guide wa kuaminika,tengeneza network na wakodisha magari ya utalii(kama huna) pamoja na hoteli za kitalii,
tembelea kampuni nyingine kuona utendaji wao kisha ongezea hapo walipo ishia.
tengeneza website.
(usisahau kurasimisha biashara yako kupitia brella kisha itafwatia TRA, hamashauri n.k)
Uko wapi mkuu?Wanajukwaa mimi ni mgeni jamii forum, hoja yangu inayonitatiza ni namna ya kuanzisha kikampuni cha utalii kwa level ya kawaida.
Hapa ninachotaka kujua ni taratibu zake na gharama zinazohitajika, Pia namna ya kupata hao watalii. Naomba mwongozo wenu wakuu.
Nipo morogoroUko wapi mkuu?
pambana kmandaNipo morogoro
Kabisa mkuu, kuna teacher mmoja pande za A- town aliacha kazi, akafungua kampuni ya utalii, baada ya msoto wa mda mfupi, sasa hivi yuko vizuri kabisa kabisa,Mkuu Akifanikiwa nikumbuke kwenye ufalme wako