Nataka kufungua kampuni yangu hapa nchini, nisaidieni haya ili niyatekeleze kwa uelewa mkubwa!

PAXMAN habari yako...
sisi tutakusaidia kitu kimoja ...
sisi kama Ibang Net tutakusaidia kukutengenezea website yako kuifanyia design na kukufanyia SEO marketing na hii itasaidia kuvutia investors kutoka sehemu mbali mbali duniani ....
ni PM kwa maelezo zaidi
 
thanx alot mkuu. Nakuja kwa PM
 
Well explained. 😛oa
 
pia juaa kwamba ukiweka mtaji mkubwa na ndivyo utakavyolipa kodi kubwa
 
pia juaa kwamba ukiweka mtaji mkubwa na ndivyo utakavyolipa kodi kubwa

Mkuu, nimeelewa vizuri asante sana. Nimepata fomu ya brela na nimeona ada za usajili zinavyoenda. Ila sipajapata ufafanuz let say kampuni ina mtaji 10Mn kodi za TRA inakuwa ngapi?
 
safi,sana je kampuni inataka uwe na mtaji wachini kabisa shilingi ngapi . Nakama una duka la kawaida la vyakula na matumizi mengine ya kawaida na umesajili kila kitu na unataka kuibadilisha kampuni je inakubalika hapo wataalam?
 
Mkuu, nimeelewa vizuri asante sana. Nimepata fomu ya brela na nimeona ada za usajili zinavyoenda. Ila sipajapata ufafanuz let say kampuni ina mtaji 10Mn kodi za TRA inakuwa ngapi?

hapa ndo napataka sana au ndo wana chukua ile 18% mpaka 25% ya hiyo milioni kumi. Tufafanulieni hapo
 
safi,sana je kampuni inataka uwe na mtaji wachini kabisa shilingi ngapi . Nakama una duka la kawaida la vyakula na matumizi mengine ya kawaida na umesajili kila kitu na unataka kuibadilisha kampuni je inakubalika hapo wataalam?

Inakubalika kwan ni sawa na kubadili sole proprietor to company
 
Mkuu, nimeelewa vizuri asante sana. Nimepata fomu ya brela na nimeona ada za usajili zinavyoenda. Ila sipajapata ufafanuz let say kampuni ina mtaji 10Mn kodi za TRA inakuwa ngapi?

Ongera mkuu,mi mwenyewe napenda uniambie hizo ada za usajir brela zikoje,coz mi ninakampun yangu ila cjasajil,nipe ufunuo nami
 
mkuu! hata mimi ninahitaji sana hiyo soft copy ya memorandam yako, tafadhari tumwagie tu hapa kiongozi wetu!
 
paxman na wote mliochangia ah
santeni sana...! ngoja nichungulie brela kuna nini zaidi.
 
kila la kheri urudi utupe feedback humu , sidhani kama tra wanapiga 25% ya mtaji ndo ulipe , tatizo letu kubwa hatuna mahesabu ya makampuni ya kueleweka , na hata ukiwa nayo tra wafanyakazi nao magumashi kwenda mbele , unatakiwa ulipe kodi kutoka kwenye faida kampuni iliyopata , so lets say ,

mauzo ya mwaka 10m
matumizi -6m
faida-4m

kodi inapigwa kwenye hiyo 4m , so kama ni 20% times hiyo 4 m ,

wataaalamu wa kodi watusaiidie ,
 
Nitatoa feedback.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…